VINARA WA KILI MUSIC WAMWAGA RADHI MBEYA

Msanii God Zila akipanda jukwaani huku akishangiliwa na wapenzi wa
muziki wa kizazi kipya wakati wa wakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya
Kilimanjaro 2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyikamwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.
Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya wakiwa wamepagawa wakati Msanii
God Zila akimwaga misitariwakati wa shoo ya washindi wa Tuzo ya Muziki ya Kilimanjaro
2011, kuwashukuru wakazi wa Mbeya kwa kuwachagua. Shoo hiyo ambayo imedhaminiwa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya.




Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.