AJALI YA MAGARI NANE RIVERSIDE UBUNGO,YAUA WAWILI NA KUJERUHI WANNE

Watu wakiangalia baadhi ya magari katika ajali iliyohusisha magari nane eneo la Riverside, Ubungo, Dar es Salaam , na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine wanne kujeruhiwa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipoliosi wa Kinondoni, Charles Kenyela, akizungumza na wanahabari juu ya ajali hiyo
Askari wa Kikosi cha Zimammoto na Uokoaji cha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, akipulizia maji yenye dawa kusafisha eneo palipotokea ajali
Sehemu ya umati wa wananchi ukishuhudia ajali hiyo.
Kamanda Kenyela akiwakataza wananchi wasisogee kwenye ajali


Lori la mafuta namba T 269 BRQ na tela namba T 264 BUC, likiwa eneo la ajali baada ya kusababisha ajali kwa kugonga magari mengine saba eneo la River Side, Ubungo, Dar es Salaam . Dereva wa Lori hilo alikimbia kuhofia kupigwa na wananchi
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo
Moja ya magari yalipata ajali eneo hilo
Msongamano wa magari uliosababishwa na ajali hiyo
Gari namba T 112 TTB, ambalo ni moja kati ya magari nane yaliyohusika kwenye ajali hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.