AZAM FC YALAKIWA KWA SHANGWE DAR

Wachezaji wa timu ya Azam FC, wakiwa na Kombe la Ubigwa wa michuano ya Mapinduzi, walipowasili kwenye Bandari ya Dar es Salaam, wakitokea Zanzibar. (PICHA NA KAMANDA  RICHARD MWAIKENDA)

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bakhresa (aliyeshika kombe kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Azam baada ya kuwasili katika bandari ya Dar es Salaam leo jioni.
Wachezaji wa Azam FC, wakiwa na kombe la ubingwa wa michuano ya Mapinduzi, wakiwasili na Boti la  Kilimanjaro kwenye bandari ya Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Kampuni ya Bakhresa, ambaye pia ni Mwenyekiti wa timu ya Azam FC, Abubakar Said Bakhresa akiwa na kombe hilo

                             Baadhi ya viongozi wa Azam wakishangilia baada ya kulipokea kombe
Wachezaji wa Azam wakipanda  kwenye basi lao tayari kwenda Makao Makuu yao eneo la Mzizima, Dar es Salam kwa ajili ya sherehe

Baadhi ya mabasi ya timu ya Azam, yakiwa bandarini, Dar es Salaam,, yakisubiri timu iwasili kutoka Zanzibar


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.