DK SHEIN AZINDUA PICHA YAKE YA KUCHORA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazi kama ishara ya kuzindua Picha ya
kuchora kwa penseli,iliyochorwa na msanii Haji Simba,(wa pili kushoto)
wa kikundi cha Zan Artist cha Hurumzi Mjini Zanzibar,picha hiyo
inayofanana kabisa  na sura yake Rais,ambayo inaonesha  anachuma
karafuu,imechorwa kwa muda wa miezi miwili sawa na siku 60,hadi
kumalizika kwake,(wa tatu kulia) Mshauri wa Rais uwezeshaji wananchi
kiuchumi na ushirika Abrahmani Mwinyi Jumbe, na (wapili kulia)
Mkurugenzi wa Kamisheni ya Utalii Ali Khalil  Mirza.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein,akiiangalia  Picha iliyochorwa na msanii,Haji
Simba,(kushoto) wa kikundi cha Zan Artist cha Hurumzi Mjini
Zanzibar,picha hiyo inayofanana na sura yake Rais,ambayo inaonesha
anachuma karafuu,imechorwa kwa muda wa miezi miwili sawa na siku
60,hadi kumalizika kwake,(kulia) Mratibu wa Shuhuli Simai Mohamed.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.