Ikulu ya White House yarushiwa bomu

Watu wamehamishwa kwa muda kutoka kwa Ikulu ya White House nchini Marekani baada ya bomu ya kutoa moshi kurushwa ndani ya ua la jengo hilo.

Ripoti zinasema kuwa jengo hilo ambalo ni ofisi ya rais Barrack Obama, ilifungwa kwa muda huku maafisa wa idara ya uchunguzi nchini humo CIA, wakifanya uchunguzi kufuatia uvumbuzi wa kifaa killichoonekana kuwa bomu la kutoa moshi.

Msemaji wa idara hiyo ya ujasusi George Ogilvie, amesema kuwa kifaa hicho kilirushwa kupitia ua la jengo hilo wakati waandamanji wapatao 1500 walikuwa wakiandamana nje ya Ikulu hiyo ya rais.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.