JK AONGOZA MAELFU KUMUAGA MAREHEMU SUMARY DAR

Rais Jakaya Kikwete, akiongoza wananchi  kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, marehemu Jeremiah Sumary leo kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam. Sumary atasafirishwa kesho kwenda kwao Arumeru Arusha, kwa mazishi yatakayofanyika Jumatatu. (PICHA YA IKULU)

Mwenyekiti wa CHADEMA , ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freman Mbowe, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge), William Lukuvi wakotoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Sumary.

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, akipita kutoa heshima za mwisho, huku akifuatiwa na viongozi wengine.
 Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa (mbele) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa  marehemu Sumary
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa akitoa heshima za mwisho
 Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye foleni wakisubiri kutoa heshima za mwisho
 JK akiwa na baadhi ya viongozi wakati mwili wa marehemu Sumary ukiingizwa kutolewa heshima za mwisho kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam

Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kwenye masiba huo

 Mmoja wa walemavu akiwa amebebwa akiondoka baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Sumary
                             JK akimfariji Mjane wa marehemu Sumari, Miriam
 Askari wa Bunge, wakiingiza jeneza la mwili wa marehemu, Sumary likiwekwa kwenye gari baada ya kutolewa heshima za mwisho
Mjane wa marehemu Sumary7, Miriam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA