JK ATETA NA VIONGOZI MASHUHURI DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron mjini Davos, Uswisi.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gates wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Uswis jana. (PICHA YA IKULU)

Rais Jakaya Kikwete akikutana na Madame Sadako Ogata, Rais wa Japan International Cooperative Agency mjini Davos
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Walmart, Doug Mc Millonwakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Uswis
Rais Kikwete katika mazungumzo na Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos,Uswis
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia, Kevin Rudd wakati wa Kongamano la Uchumi Duniani mjini Davos, Uswis.

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga baada ya kufanya naye mazungumzo mjini Davos.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.