JK ATINGA MKUTANO WA AU


Rais Jakaya Mrisho kikwete akipanda mti kama kumbukumbu ya mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012 (PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
Viongozi wa Afrika wanasimama wakati wimbo wa Umoja wa Afrika unapigwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijadilaiana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernrd Membe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar (Fedha na Uchumi) Dr Mwinyihaji Makame Mwadini katika mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Paul Kagame wa Rwanda kabla ya kuanza rasmi kwa mkutano wa 18 wa Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa Ethiopia leo January 29, 2012

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA