JK AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU MKUU

Rais Jakaya kikwete akimwapisha, Peter Ilomo kuwa Katibu Mkuu Ikulu, Dar es Salaam
Suzana Mlawi akila kiapo kuwa Naibu Katibu Mkuu Ikulu, Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akijadiliana jambo na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi aliyemaliza muda wake, Philemon Luhanjo wakati wa hafla ya kuapisha. Kulia kwa Makamu wa Rais, ni Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue.Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa wizara hiyo, William Ngeleja (katikati) na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Adam Malima baada ya kuapishwa
 Naibu Katibu Mkuu Ikulu, Suzana, akipewa ua na rafiki yake, Lilian Mashaka  baada ya kuapishwa
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa wizara hiyo, William Ngeleja (katikati) na Naibu Waziri wa wizara hiyo, Adam Malima baada ya kuapishwa
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha Naibu Katibu Mkuu mpya Ikulu, Suzana Mlawi, Ikulu, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.