JK AWANDALIA MABALOZI TAFRIJA YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2012

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchi pamoja na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa wakati wa tafrija aliyowaandalia kuukaribisha mwaka mpya wa 2012, Ikulu, Dar es Salaam leo jioni.

                                         Mabalozi wakiingia eneo maalumu walililoandaliwa Ikulu
                                 Mabalozi wakiingia eneo maalumu walililoandaliwa Ikulu
 Katibu Msaidizi wa JK wa masuala ya Diplomasia Zahra Nuru (kulia) akiwalaki baadhi ya mabalozi. Chini ni baadhi ya mabalozi wakisikiliza wakati JK akihutubia
 Mkuu wa Malozi, ambaye pia ni Balozi wa DRC Congo, Juma Halfan Mpango akiwasilisha ujumbe wa mabalozi kwa Rais Jakaya Kikwete. Picha ya chini anaonekana Rais Kikwete akiwahutubia mabalozi hao.
JK akiagana na baadhi mabalozi baada ya kumalizika kwa tafrija hiyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI