MAZISHI YA MZEE KIPARA NI SIMANZI, MAJONZI TELE

Waziri wa masuala ya Afrika Mashariki, Samuel Sita (kushoto)akiwasili msibani.
Msanii wa vichekesho almaarufu kwa jina la Senga naye alinaswa mitaa ya Kigogo akielekea msibani.

Mmoja wa waandaaji wa mazishi akigawa ‘rizki’.

Shilole akishindilia pilau msibani.

Msanii wa enzi hilo, Nina, akiwa kwenye mishemishe za kupanga watu waweze kujipatia msosi.
Msanii Mike Sangu akiwaongoza waombolezaji kulitoa nje jeneza lenye mwili wa Mzee Kipara.

Johari ni miongoni mwa waombolezaji walioshindwa kujizuia kuangua kilio baada ya kuliona jeneza hilo.

Waombolezaji wakiuswalia mwili wa marehemu.

Mkongwe wa filamu za maigizo nchini, Fundi Said maarufu kama Mzee Kipara aliyeaga dunia juzi, jana jioni alizikwa kwenye makaburi ya Foya yaliyopo Kigogo-CCM jijini Dar es Salaam karibu na nyumbani alipokuwa akiishi. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA TANZANIA ONE BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA