MWANAMUZIKI CHARLS BABA AREJEA KUTOKA MAPUMZIKONI DUBAI

 Mwanamuziki mpya wa Bendi ya Mashujaa  Charles Gabriel akilakiwa na Meneja wake, Bernard Msekwa alipowasili jana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akitokea Dubai alikokwenda kwenye mapumziko ya wiki moja, baada ya kuihama bendi ya Twanga Pepeta
Catz Baba akipewa shada la maua

Chaltz Baba akilakiwa na Rais wa bendi hiyo

Charlz Baba akilakiwa na baadhi ya wapenzi wa muziki

Msafara wa mapikipiki uliokuwa ikuongoza msafara wa Charlz Baba kutoka Uwanja wa Ndege. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA