MWAMBUNGU ALONGA NA WAKULIMA WA MAHINDI RUVUMA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akiongea na watendaji wa vijiji vya Magagula.Muungano Zomba na Lugagara wilaya ya Songea jana alipotembelea kuhamasisha wakulima kuzalisha mahindi kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo.Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Thomas Sabaya(kulia) na mwenyekiti wa Halmashauri ya Songea Rajab Mtiula(Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma)
Wakulima wa kijiji cha Magagula wilaya ya Songea wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu (hayupo pichani) jana alipofanya ziara ya kukagua shughuli za kilimo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA