WANACHAMA WA DAR PRESS CLUB (DPC), WAPIGWA MSASA UANDISHI HABARI ZA MAHAKAMANI

Wakili wa Kujitegemea, Nyaronyo Kicheere (kulia), akielezea jinsi ya kuripoti habari za mahakamani, wakati wa semina ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari ya Dar es Salaam (DPC) .Kulia ni Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Jane Mihanji. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

Wanahabari wakipgwa msasa wa habari za mahakama

Wanahabari wanachama wa Klabu hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Wakili Nyaronyo akiwapiga msasa. Kutoka kushoto ni Samira Kiango wa Radio Uhuru, Grace Michael wa Jambo Leo ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya DPC na Hellen Ngoromera wa Tanzania Daima.

Kutoka kushoto ni Wanahabari Prosper Makene wa Theguardian, Mary Edward wa Umoja wa Kalabu za Habari Tanzania, Njumai Ngota wa gazeti la Uhuru na Rehema Mohamed wa Majira.

Kutoka kushotoni, Nora Damian wa Mwananchi, Samira  Kiango wa Uhuru FM na Grace Michael wa Jambo Leo

Njumai na Rehema

Samira Kiango Uhuru,, Grace Michael wa Jambo Leo, Hellen Ngoromera wa Tanzania Daima na  Frida Manga Tumaini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.