YAFUATAYO NI MAJINA YA WALE WALIOINGIA RAUNDI YA
PILI YA MCHUANO WA MAJINA YASIYOKUWA YA KAWAIDA!
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO - Muhitimu wa kidato cha
sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA - Muhitimu wa kidato cha sita
shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE - Mwanafunzi wa kidato
cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a
PUMBU - Dereva wa mabasi ya Hood
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA - Mpishi mkuu
wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA - Muuza miwa
na maji baridi maarufu pale Magomeni makutano ya
barabara za Rashid Kawawa na Morogoro
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUGILE - Jaji wa
Mahakama Kuu ya Tanzania
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI - Waziri wa Ujenzi
Tanzania
9. Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA - Fundi majiko
maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE - Muhitimu wa chuo kikuu
cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii
(BA)
11. Ndugu BUJAGA IZENGO KADAGO - Mtangazaji wa zamani wa RTD.
12. Ndugu KYOIKILE KANAKU KYOKA - Mhitimu wa Chuo cha Ualimu Murutunguru, Ukerewe mwaka 1993.
13. Ndugu AMANI NZUGILE JIDULAMABAMBASI - Mwenyekiti wa zamani wa UDP aliyempindua John Cheyo
14. Ndugu SIMBA NYAMAUMEMBORO - Mtangazaji RTD Kanda ya Kusini.
15. Ndugu NGADE CHABANGA DYAMWALE - Mchezaji wa Yanga.
16. Ndugu KINJEKITILE NGOMBALE - MWIRU - Mtoto wa Mshauri Mkuu wa Rais Mkapa, KINGUNGE NGOMBALE - MWIRU.
17. Ndugu SEGE PUMBU MWILA - Mwanamuziki wa FM Academia.
18. Ndugu ENGTRAUD NDAFICK MASONDORE - Mwandishi wa Daily Times.
19. Ndugu SAASITA KUKURUPUKA - Mhitimu wa Shule ya Msingi Magole, Mwanza mwaka 1986.
20. Ndugu NASONGELYA KILYINGA - Mwandishi wa Daily News.
21. Ndugu BEATRICE MPEMBOO - Mwanafunzi wa Kidato cha kwanza Sekondari ya Jangwani mwaka 1994.
22. Ndugu NDIMARA TEGAMBWAGE - Katibu Mwenezi wa zamani wa NCCR-Mageuzi.
23. Ndugu UKIWAONA DITOPILE MZUZURI - Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
24. Ndugu CHRISANT MAJIYATANGA MZINDAKAYA - Mbunge wa Kwera.
25. Ndugu NGAWINA NGAWINA - Mtanzania anayechezea TP Mazembe ya Congo.
26. Ndugu ULIMBOKA MWAKINGWE - Mchezaji wa Simba.
27. Ndugu MWINA KADUGUDA - Katibu wa zamani wa Kamati ya Muda ya FAT.
28. Ndugu MOBHARE MWITA MAHE MATINYI - Mhariri Mkuu wa zamani Majira.
29. Ndugu NYARONYO MWITA KICHEERE - Mwandishi wa Kujitegemea na Mhitimu wa Shahada ya Sheria Chuo Kikuu Dar es Salaam.
30. Ndugu MUNGA TEHENAN - Mhariri wa zamani Jitambue
31. Ndugu NYAKASAGANI MASENZA - Mwandishi wa Kujitegemea na mcheza filamu.
32. Ndugu NYAMBULI CHITAMA - Mwandishi Dar Leo.
33. Ndugu JOSEPH RUGUMYAMHETO - Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Utumishi.
34. Ndugu MUTAMWEGA MUGAHYWA - Mbunge wa Mwibara
35. Ndugu ABIUDI MUGINI MAREGESI - Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM
36. Ndugu ATUFIGWEGWE MWAKALUKWA - Mchezaji wa Vijana Ilala.
37. Ndugu KANAELI KAALE - Mwandishi wa Majira Jumapili.
38. Ndugu IKUPILIKA NKOBA - Mchezaji wa zamani Tukuyu
39. Ndugu DAUDI KUFAKUNOGA - Mchezaji zamani Tukuyu
40. Ndugu ADAM MWAIBABILE MWANA ANDENGULILE-Mtangazaji Radio One
41. Ndugu SEPTEMBA DE NYANG'ORO - Mhitimu Musoma Sekondari mwaka 1991
42. Ndugu HAJALA BANGI - Mhitimu wa Sekondari ya Songea Girls mwaka 1989
43. Ndugu PENZI NYAMUNGUMI - Mtangazaji wa zamani RTD.
44. Ndugu JUMA NG'WANANG'WAKA - Alikuwa Kamanda wa Polisi Mikoa ya Arusha, Tabora.
45. Ndugu FUMBUKA NKWABI NG'WANAKILALA - Mwandishi wa Daily News.
46. Ndugu NG'WIZUKULU JILALA - Mganga wa jadi maarufu.
47. Ndugu JITIHADA KUDURA - Mhitimu darasa la saba shule ya msingi Wailes 1993
48. Profesa Gamalieli Mgongo Fimbo - Mhadhiri na mtaalm wa sheria za Ardhi Chuo Kikuu cha Daar es Salaam
49. Hassan Madimundwa-Mhitimu darasa la saba Shule ya Msingi Hale 1994.
50.Profesa Kotti Mwana wa Liti wa Kamanga Mhadhiri na mtaalam wa sheria za kimataifa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
51. Dr. Palamagamba Kabudi-Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es Salaam
52. Mgeni Kazikulinda, Mfanyabiashara maarufu Kibaha kwa Mathias
53. John Mapinduzi Nakyambeto - Mhariri Majira
54. Twisakumketa Kyambakimpokile Mwambona
55. Julius Masiaga Nyamhanga Nyaisanga
56. Mshokeli Mandari - Mwanafunzi TSJ

 MAJINA YALIYOONGEZEKA
KUWAYAWAYA S. KUWAYAWAYA MBUNGE WA ZAMANI NA MPENZI WA SIMBA
EMMANUEL HERMAN KALIMANZILA
WALIOSHIRIKISHWA KUTOKA NJE YA NCHI:
1. Ndugu SIPHOLIS MANTOMBAZANA - Naibu Waziri wa Afya Afrika Kusini.
2. Ndugu NTOMBI MTOMBENI - Mwanaharakati wa haki za wanawake Afrika Kusini.
3. Ndugu MBOO MPENZA - Mchezaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji.
4. Ndugu JUNICHI INAMOTO - Mchezaji wa Japan
5. Ndugu ALBERTO TOMBA - Bingwa wa mchezo wa Skii Duniani.
6. Ndugu KENGO WA DONDO - Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Congo.
7. Profesa WAMBA DIA WAMBA - Mwanasiasa Congo.
8. Ndugu ABRADE KUMA - Mchezaji wa zamani wa Ghana.
9. Ndugu NDIKUMANA MAJID - Mchezaji wa Rayon ya Rwanda.
10. Ndugu POPOTE CHANGONO - Mchezaji wa zamani Malawi.

RAIS WA ZAMANI WA ZAIRE  MOBUTU SESESEKO KUKU NGBENDU WA NZABANGA
UJUMBE WA LEO:
USITAFUTE HESHIMA KWA KUUZA DHARAU!

Comments

Anonymous said…
ULIMBOKA MWAKATUNDU,mhitimu meta sec 1998, KUMBUKA MAPUNDA mhitimu shinyanga sec, MTOMBAGE NYUNYUMA MWINAMILA katibu kata wa sasa tawi la maganzo shinyanga vvijijini
tumbo risasi,mabere makubi,
Mwesigwa Mwesiga said…
Naonelea ni bora hata jina la mwanafunzi TIFUGUNDULWA TUMBIKA, aliyehitimu kidato cha Sita shule ambako Nape Nnauye alisoma (umeonesha picha yake akikabidhiwa cheti na Nape kwenye habari hapa chini) liongezwe ili kuongeza ushindani.
Anonymous said…
Ongeza jina la Kabembeleza Sinodya aliyehitimu kidato cha nne Lyamungo sekondari mwaka 1989 na mwingine aliyefuatia mwaka 1990 katika shule hiyo akiitwa Awe Tlaatlaa.

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA