TAFFA,CHUO CHA KODI WAANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA FORODHA

Mkuu wa Chuo cha Kodi nchini, Dk. Patrick Mugoyo (kushoto) na Rais Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Stephen Ngatunga wakitiliana saini mkataba ambapo taasisi hizo zimekubaliana kuanzisha chuo cha mafunzo ya forodha kwa watanzania. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)
Mkuu wa Chuo cha Kodi nchini, Dk. Patrick Mugoyo (kushoto) na Rais Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), Stephen Ngatunga wakibadilishana hati baada ya kutiliana saini mkataba ambapo taasisi hizo zimekubaliana kuanzisha chuo cha mafunzo ya forodha kwa watanzania. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam jana. (PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.