UNAMAONI GANI ?

MNADA MPYA WA KITWIRU IRINGA WACHUKUA UMAARUFU MKUBWA



wananchi wasafiri kutoka mjini kwenda kula nyama
Mwanahabari maarufu nchini Clement Sanga kati akipata huduma ya kikombe kutoka kwa waganga wa jamii ya kimasai
Huduma ya choo katika mnada huo



Mnada mpya wa Manispaa ya Iringa uliopo eneo la Kitwiru umezidi kujizolea umaarufu mkubwa kwa nyama choma na kuanza kuuzidi mnada wa Dodoma ambao umekuwa maarufu hapa nchini .

Tayari eneo hilo limejengwa vizuri na kuwekwa huduma zote za jamii kama choo ,jengo la kupumzika na huduma ya maji na idadi ya watu kutembelea mnada huo imezidi kuongezeka zaidi .

Zipo taarifa kutoka ofisi ya mkurugenzi wa Manispaa ya Iringa kuwa wafanyabiashara ndogo ndogo wa mnada wa Miyomboni jumapili ijayo watahamishiwa katika mnada huo ambao umejizolea umaarufu mkubwa . (Kwa hisani ya Blog ya Francis Godwin)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.