JK akutana na Balozi wa Msumbiji Ikulu

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mh.Amour Zacarias Kupela baada ya balozi huyo kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na kufanya naye mazungumzo yanayohusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Mh.Amour Zacarias Kupela baada ya balozi huyo kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo asubuhi na kufanya naye mazungumzo yanayohusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili(picha na Freddy Maro)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.