KOMBE LA MABINGWA ULAYA (UEFA) KUTUA NCHINI MACHI 27


Juma Nassoro (kushoto) na msichana Azar Charles wakionesha umahiri wa kucheza danadana kwa kichwa katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, ambapo Meneja Mkuu wa Heineken Afrika Mashariki, Koen Morshuis (hayupo pichani) akielezea maandalizi ya ujio wa Kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA) nchini Machi 27, mwaka huu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Meneja Mkuu wa Heineken Afrika Mashariki, Koen Morshuis (hayupo pichani) akielezea maandalizi ya ujio wa Kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA) nchini Machi 27, mwaka huu.
 Baadhi ya wanahabari wakiwa pamoja na wageni waalikwa kwenye mkutano huo uliofanyika leo kwenye Hoteli ya Kilimanjaro
                                                    Juma akizidi kuonesha minjonjo yake
                                              Msichana Azar akizidi kufanya vituko
                                            Azar akiangalia jinsi Juma akipiga danadana
                                              Kila mmoja akionesha minjonjo yake
                                          Vimwana wa Heineken wakila pozi la nguvu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.