LOWASSA ARUDI KUTOKA UJERUMANI NA KUSEMA YUKO FITI, YUKO TAYARI KWA MAPAMBANO

 Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, mara baada ya kuswasili leo kwenye Uwanja wa Kimatiafa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akitokea kufanyiwa check up jicho Ujerumani na kueleza kuwa yuko fiti kimwili. Kushoto ni Mke wake Rejina.
Pamela Lowassa Sioi (kushoto) ambaye ni Mke wa Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM, Sioi Sumari akiwa na mdogo wake wakati wa kumpokea babao Edward Lowassa Uwanja wa Ndege leo.PICHA NA KAMANDA MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.