MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAKULIMA WA CHAI WILAYANI RUNGWE WAENDELEA

Mgeni rasmi katibu tawala wa wilaya Rungwe Moses Mmdede akifungua mkutano huo wa mwaka wa wakulima wadogo wa chai kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho Bwana Jonson Mwakasege

Mkurugenzi wa chama cha wakulima wadogo wa chai Bwana Leby Hadson akisoma taarifa ya mwaka katika mkutano huo

Mhasibu wa chama hicho Bwana Juma Liganga akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya mwaka katika mkutano huo

Baadhi ya wanachama wa chama cha wakulima wadogo wa chai wakimsikiliza mgeni rasmi


Hii ndiyo bodi ya chama cha wakulima wadogo wa chai Rungwe

Mkutano unaendelea. Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI