MKUTANO WA JK NA WAZEE ULIOKUWA UFANYIKE LEO SASA NI KESHO

Rais Dk. Jakaya Kikwete
Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliopangwa kufanyika leo, Ijumaa, Machi 9, 2012, umeahirishwa hadi kesho, Jumamosi, Machi 10, 2012. Mkutano huo umeahirishwa ili kutoa nafasi kwa Mheshimiwa Rais kufanya mashauriano zaidi na wadau mbali mbali kuhusu suala ambalo Mheshimiwa Rais atalizungumzia kwenye mkutano huo. Kama ulivyokuwa mkutano ulioahirishwa leo, mkutano wa kesho utafanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa tano asubuhi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.