MKUTANO WA MWAKA WA MUHIMBILI SACCOS

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk Marina Njelekela akimkabidhi zawadi Masatu Mikama mteja anayerejesha mkopo kwa wakati katika Mkutano Mkuu wa 11 wa wanachama wa Saccos ya wafanyakazi wa Muhimbili (MuSaccos), uliofanyika, Dimaond Jubilee, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa Saccos hiyo, Mary Mhango. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)

                                        Dk Njelekela akiingia katika mkutano huo wa MuSaccos
 Dk Njelekela akiwa ameshikana mikono na viongozi wa Saccos hiyo ikiwa ni ishara ya kuonesha mshikamano
 Mwenyekiti wa MuSaccos, Mhango akihutubia kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Dk. Njelekela
DK Njelekela akitoa nasaha zake katika mkutano huo

 Baadhi ya wanachama wa Saccos hiyo, wakiwa katika mkutano huo
 Mgeni rasmi Dk. Njelekela akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Saccos hiyo
 Wanachama wakihudhuria mkutano huo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.