MRATIBU WA MKURABITA AAGWA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya MKURABITA na Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda akihutubia jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.
Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mstaafau Mhandisi Ladislaus Lema akitoa neno la shukurani jana jijini Dare s salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga baada kustaafu rasmi Desemba 2011 wakati wa sherehe fupi iliyoandaliwa na Ofisi ya MKURABITA.
Mratibu wa MKURABITA akitoa neno la utangulizi jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011. Naibu Katibu Mkuu Ikulu Susan Mlawi akihutubia jana jijini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kumuaga aliyekuwa Mratibu wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011
Baadhi ya wafanyakazi Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za WanyongeTanzania(MKURABITA) wakitoa zawadi ya Komputya jana jijini Dar es salaam kwa aliyekuwa Mratibu wa MKURATIBA Mhandisi Ladislaus Lema baada kustaafu rasmi Desemba 2011.
Wakiwa katika picha ya pamoja

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.