SIMBA MBELE MABAO 2-0 DHIDI ES SETIF YA ALIGERIA


Mchezaji Emanuel Okwi wa Simba akiruka juu juu kuupiga kwa kichwa mpira katikati ya mabeki wa timu ya Es Setif katika mchezo wa Kombe la Shirikisho unaofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jioni hii, hivi sasa ni kipindi cha pili na hakuna timu iliyopata goli mpaka sasa.
Mchezaji wa Simba Amir Maftaha akikabana na mchezaji wa timu ya ES Setif ya Algeria katika mchezo wa
Mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa taifa wakishuhudia mchezo huo. Kwa hisani ya Full Shangwe Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.