TMA YAWATAHADHARIDHA WANAOISHI MABONDENI KUONDOKA. GHARIKA LA MVUA ZA MASIKA KUJA TENA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kushoto)akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mwelekeo wa mvua za masika za Machi hadi Mei mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi Huduma za Utabiri wa mamlaka hiyo, Dk. Hamza Kabelwa.
 Wanahabari wakiwa kazini wakati wa mkutano huo
Uongozi wa TMA, uwmewatahadharisha wananchi kuondoka mabondeni kufuatia utabiri wa kutokea kwa mvua kubwa za masika zinazoweza kwasababishia maafa.

Pia ameshauri Halmashauri na Manispaa, kuandaa miundombinu mizuri ikiwemo kurekebisha mifereji ya kupitisha maji taka ili mvua kubwa itakapoanza kunyesha maji yawe yanatitirika bila matatizo.pasipo kukwama na kusababisha mafuriko yenye madhara.

Alisema kuwa mvua hizo za masiika zitaanza kunyesha kuanzia Machi hadi Mei mwaka huu katika baadhi ya maeneo nchini, likiwemo Jiji la Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI