Umoja wa Ulaya yaisaidia Tanzania bilioni 108

Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile akibadilishana hati za makubaliano na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.
Naibu Katibu Mkuu wizara ya Fedha Dr. Servacius Likwelile na Balozi wa nchi za Umoja wa Ulaya Filiberto Cerian Sebregondi wakisaini hati za makubaliano katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam. Jumla ya shilingi bilioni 108 zimetolewa na umoja huo fedha ambazo zitatumika kuimarisha miradi ya maji katika mikoa ya Rukwa, Lindi na Kigoma ili kutimiza malengo ya milinia ifikapo mwaka 2015.
(Picha na Anna Nkinda - Maelezo)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.