Waziri Huvisa atembelea kampuni ya Mantra huko Namtumbo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akionyeshwa chombo cha Kupimia Mionzi na Ofisa Usalama Kazi Bw Frederick Kriel wakati alipotembelea kampuni ya Mantra ya Madin ya Tanzania inayoendeshwa na kampuni ya Uranium One ya Canada kulia Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bwa Saveli Mwangasame[Picha na Ali Meja}
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akionyeshwa kipande cha Jiwe ambacho kilikuwa Mti baada ya kufukiwa Aridhini na Mjiolojia Mwandamizi wa Mantra Tanzania Ltd Bw Mathias Gingi alipotembelea Mradi wa Madini ya Uranium,kampuni ya Mantra inaendeshwa na kampuni ya uranium One ya Canada[Picha na Ali Meja]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akizungumza na mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Saveli Mwangasame mara baada ya kuwasili kuangalia Mradi ya kampuni ya Mantra ya Tanzania inaendeshwa na kampuni ya Uraniaum One ya Canada Wilaya ya Namtumbo Mkoa wa Ruvuma [Picha na Ali Meja]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.