ZAIDI YA DALADALA 100 ZA TEGETA-UBUNGO DAR ZAGOMA

 Basi la daladala linalofanya safari kati ya Ubungo na Tegeta, Dar es Salaam, likisimamishwa ili liungane kwenye mgomo ulioitishwa na madereva na makondakta wa daladala hizo leo kupinga kitendo cha kulipishwa tozo nyingi katika kituo cha daladala cha Ubungo Tanesco.
Daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo-Tegeta, Dar es Salaam, zikiwa zimeegeshwa katika kituo cha njia panda ya kwenda Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo, baada ya madereva na makondakta kugoma wakidai kulipishwa tozo nyingi katika Kituo cha Daladala cha Ubungo na kutojua fedha hizo zinakopelekwa. Kwa siku hulipa kwanza sh. 1,500 na  500 halafu kila linapofika kupakia abiria hulipishwa sh 400. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mmoja wa madereva wa zaidi ya daladala 100 zilizogoma, akijielezea unyanyasaji huo

Abiria wakiwa wamekata tamaa ya kupata usafiri wakati Daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo-Tegeta, Dar es Salaam,  madereva na makondakta wake kugoma wakidai kulipishwa tozo nyingi katika Kituo cha Daladala cha Ubungo na kutojua fedha hizo zinakopelekwa. Kwa siku hulipa kwanza sh. 1,500 na  500 halafu kila linapofika kupakia abiria hulipishwa sh. 400. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI