BREAKIING NEWSSSS JK HUENDA AKATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI JIONI YA LEO

Fununu tukizozipata mchana huu ni kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete (pichani), kuna uwekano jioni ya leo anaweza kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.

Baraza hilo litatangazwa mbele ya vyombo vya habari, Ikulu, Dar es Salaam na kuhudhuriwa pia Makamu wa Kwanza wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal.

Blogu yako ya Kamanda wa Matukio inaahidi kuwataarifu wadau, kadri mambo yatavyokuwa yanazidi kuiva.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.