Wafanyakazi wakionesha ishara ya mshikamano wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), wakiandamana na wafanyakazi wengine katika maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, iliyofanyika kimkoa, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Askari wakiwazuia wafanyakazi kuingia kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kabla ya maandamano kuingia
Baadhi ya wafanyakazi wakikimbia kuingia viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya lango kufunguliwa
Brass Band ya Jeshi la Magereza ikiongoza maandamano kuingia kweye maadhimisho hayo
Moja ya mabango likihimiza utaifa kwanza
Ni furaha iliyoje kwa wafanyakazi hawa
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (wa pili kushoto) akionesha ishara ya mshikamano pamoja na viongozi wengine waliokuwa wamekaa jukwaa kuu leo
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Azam akiruka kupitia kwenye uzio baada ya kuzuiwa kutoka lango kuu hadi maadhimisho hayo kumalizika
Alhaji Profesa Salim Milki Kungwililo, Imamu wa Mahdi University Dar es Salaam, akihojiwa na askari baada ya kwenda kukaa jukwaa kuu bila kuwa na mwaliko wakati wa maadhimisho hayo
Wafanyakazi wa Hoteli ya Riki ili nao walikuwepo
Ofisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Assah Mwambene akirekodi maadhimisho hayo
Wafanyakazi bora wa Bandari ya Dar es Salaam, wakiwa na vyeti walivyotunukiwa
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mwantumu Mahiza (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora mara baada ya kuwapatia vyeti na zawadi, wakati wa maadhimisho hayo.
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Mwenyekiti wa TUGHE Mkoa wa Dar es Salaam, Hassan Kaumo (katikati) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati wa maadhimisho hayo

Comments