NCHUNGA AFUTA MKUTANO YANGA KESHO

MWENYEKITI wa Yanga Lloyd Nchunga amefuta mkutano wake na wazee wa klabu hiyo aliopupanga kuufanya kesho.

Nchungaamesema mchana huu kwamba ameaamua kuufuta mkutano huyo kutokana na baadhi ya wanachama kutoa taarifa za kupotosha, hivyo ameawata wanachama kusubiri hadi julai 15 ambapo utafanyika mkutano mkuu wa wanachama.
"Nimefanya hivyo ili wasijepotosha kuwa nimeitisha mkutano kinyume na katiba...kwani mimi sijaitisha mkutano mkuu wa wanachama,"alisema.
Nchunga amesema kwamba sababu nyingine ya kuahirisha mkutano huo inatokana na barua waliyopatiwa na aliyekuwa mfadhili mkuu, Yusuf Manji ambapo jumatatu kamati ya utendaji inatarajiwa kukutana kwa ajili ya kujadili.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA