PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA

SHIRIKA lisilo la kiserikali linalotoa huduma na Elimu ya Afya nchini(PSI) limeendelea kutoa huduma katika mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji mmoja wa waendesha semina Bi Anisa. akitoa maelekezo ya uvaaji wa kondom katika baa ya Blue house jijini Mbeya
Mmoja wa waliyopata semina hiyo ya maambukizi ya ukimwi Bwana Frumency John kushoto akijaribu kujibu swali aliloulizwa na mtoa semina

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA