WAKE WA VIONGOZI WATEMBELEA KAMBI YA CHANETA KIBAHA

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama za Netiboli Tanzania (CHANETA), Anna Bayi moja kati ya katoni 40 za maji ya kunywa wakati wake wa viongozi  walipotembelea kambi ya timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens kwenye shule ya sekondari ya Filbert Bayi, Kibaha Mai 1, 2012.  Kulia ni Mke wa Mkamu wa Rais, Mama Zakia Bilal  na watatu kulia pia ni  Mke  wa Makamu wa Rais, Mama Asha  Bilal kushoto ni Mama Hasna Kawawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wake wa Viongozi Wakuu wa Serikali ambao ni wananchama wa New Millenium Group wakihuhudia mazoezi ya timu ya taifa ya netiboli, Taifa Queens kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, Mai Mosi 2012.  Kutoka kushoto ni Regina Lwassa, Zakia Bilal, Mwenyekiti wa CHANETA, Anna Bayi, Tunu Pinda, Anna Mkapa, Asha Bilal na Khadija Mwinyi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.