Airtel yaja na "Kula Dabo" ndani ya saba saba



Meneja Uhusinao wa Airtel, Jackson Mbando, akizungumza katika uzinduzi wa promotion kabambe kwa wateja wao ijulikanayo kama “kula Dabo” kupitia huduma ya Airtel Money. Uzinduzi wa promotion hiyo ameufanya leo katika viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam(DITF) maarufu Saba Saba yanayopendelea katika barabara ya Kilwa jijini.
Meneja Uhusinao wa Airtel, Jackson Mbando,(aliye chuchuma mbele) akipiga picha ya pamoja na baadhi ya vijana wanaotoa huduma mbalimbali katika banda la Airtel, baada ya uzinduzi wa promotion kabambe kwa wateja wao ijulikanayo kama “kula Dabo” kupitia huduma ya Airtel Money. Uzinduzi wa promotion hiyo ameufanya leo katika viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam(DITF) maarufu Saba Saba yanayopendelea katika barabara ya Kilwa jijini.
Lango kuu la kuingilia katika Kijiji cha Airtel katika viwanja vya Maonesho saba saba
Wateja wakipata huduma katika vibanda vilivyopo Kijiji cha Airtel
Chumba maalum cha Internet
full kujiachia na 3.75G ya internet ndani ya kijiji cha Airtel
Wengi wanaingia kijijini hapa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA