BREAKIIIING NEWS, WATU 250 WAHOFIWA KUFA BAADA YA MELI YA MV SKAGIT KUZAMA

ABIRIA 250 waliokuwa wakisafiri kwa meli ya MV Skagit, kutoka Dar es Salaam kwenda Pemba, wanahofiwa kufa baada ya meli hiyo kuzama mchana leo kwenye Bahari ya Hindi.

Habari zilizothibishwa na Jeshi la Polisi zimesema kweli ajali hiyo imetokea na kwamba hivi sasa wanaitafuta meli hiyo kwa kutumia helkopta.

Habari zaidi za tukio hili tutazidi kuwaletea kadri tutakavyokuwa tunapata.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA