Skip to main content

BRIGITA ALFRED ATWAA TAJI LA MISS SINZA 2012, MARIA JOHN ATWAA TAJI LA SUFIANIMAFOTO MISS TALENT

Miss Sinza 2012, Brigita Alfred (katikati) akipunga mkono kwa furaha wakati akiwa na washindi wenzake, mshindi wa pili Judith Sangu (kushoto) na watatu Esther Mussa, baada ya kutangazwa washindi katika shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mawela Social, Sinza Jijini Dar es Salaam. Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Meneja wa Kampuni ya SPM-Sufiani Photo Magic na Mtandao wa Sufianimafoto.blogspot,com, Nasma Sufiani, akimvisha taji na kumkabidhi zawadi Maria John, baada ya kuibuka kidedea katika shindano la kumska Sufianimafoto Miss Talent, lililofanyika ndano ya shindano hilo la Miss Sinza katika Ukumbi wa Mawela Social, Sinza jijini Dar es Salaam.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Sufianimafoto Miss Talent, Maria John, akiwa na furaha baada ya kuvishwa taji hilo na kukabidhiwa zawadi yake.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (wa pili kulia) akiwa na baadhi ya wanakamati wakishuhudia shindano hilo.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Mshiriki, Nancy, akipita jukwaani na vazi la ufukweni.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Mshiriki,Naima mohamed, akipita jukwaani na vazi la ufukweni.
Mshiriki, Maria John, akipita jukwaani na vazi la ubunifu.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Msanii wa Vichekesho, ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa Uongo Kweli, akishambulia jukwaa, wakati wa onyesho hilo na kuwapagawisha vilivyo, mashabiki wa fani ya urembo waliokuwapo ukumbini hapo.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Mshiriki, Mariam Miraji, akipita jukwaani na vazi la ufukweni.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Sehemu ya watu waliojitokeza kushuhudia shindano hilo.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Madj wa Sufianimafo, wakiwa katika mitambo ya Sufianimafoto, iliyokuwa ikitumika katika shindano hilo, wakiendesha shughuli nzima ukumbini hapo.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Pozi la Masawe Mtata, kabla hajapanda jukwaani, huku akiwa ameketi na wanadada ambao baada ya kushuka jukwaani walianza kumgombea, ''he kumbe tumekaa na Masawe hapa hatujui, hebu nipe namba yako'', wasilikika madada hao wakisema kila mmoja akiomba namba huku mwingine akisikika kumpiga mkwara Masawe, ''Ole wako umpe namba huyo mdada ntakupasua'' alsema mdada mmoja kati ya hawa walionyuma yake kana kwamba yeye alikuwa tayari amekwisha wini kupata namba.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Waimbaji wa Twanga Pepeta, wakishambulia jukwaa.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
Wanenguani na waimbaji wa Twanga, wakishambulia jukwaa.Picha na www.sufianimafoto.blogspot.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.