CUF YASHINDA VIJIJI 5 NA VITONGOJI VITANO UCHAGUZI WA MARUDIO RUFIJI



CUF-Chama cha Wananchi kimejinyakulia jumla ya vijiji 5 na vitongoji 5 kwenye chaguzi za marudio katika wilaya ya Rufiji.Matokeo yaliyotangazwa  rasmi jana  ambapo yalikuwa ni ya uchaguzi wa serikali za vijiji 12 na vitongoji 15.
Katika matokeo hayo matokeo ya  kitongoji 1 yalifutwa  wakati matokeo ya vijiji vitatu yamefutwa baada ya wagombea ya gombea wa CUF kuenguliwa kutokana na mapingamizi mbalimbali yaliyowekwa na vyama pinzani na matokeo kuwa na utata.
Hata hivyo CUF walinyakua vijji vitano,CCM  nane na Chadema vitatu.Kwa upande wa vitongoji CUF wamepata vitongoji vitano ,CCM  tisa ,Chadema hawakuambulia kitu.Hata hivyo  matokeo ya  kitongoji kimoja yalifutwa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI