DK HARRISON MWAKWEMBE AKUTANA NA WAMILIKI WA MABASI

 Waziri wa Uchukuzi akizungumza katika kikao chake na wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Dar es Salaam leo, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili suala la upandishaji holela wa nauli.
 Baadhi ya wamiliki wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani wakiwa katika kikao hicho
 Baadhi ya viongozi wa SUMATRA wakiwa katika kikao hicho
                                                                 Wanahabari wakiwa kazini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA