MAADHIMISHO YA MASHUJAA YANOGA DAR

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete akiweka ngao na mkuki kwenye Mnara wa Mashujaa wakati wa madhiimisho ya Siku ya Mashujaa, kwenye viwanja vya MNAZI mmoja, Dar es Salaam leo.
 Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akteta jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, SeifAli Idd wakati wa maadhimisho hayo. Kulia ni Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano, Ali Hasan Mwinyi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Gharib Mohamed Bilal.
                                                         Mashujaa waliopigana vita vya pili vya Dunia
 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, akiongozwa na askari kwenda kweka silaha za asili kwenye Mnadra wa Mashujaa
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akipigia saluti na askari wakati wa maadhimisho hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA