REDS MISS WORLD TANZANIA LISSA JENSEN AONDOKA NCHINI KUELEKEA CHINA. Kupeperusha bendera ya taifa July 28, aondoka na matumaini kibao. Apata baraka zote za Lino.

Redds Miss World Tanzania 2012 Lissa Jensen, akiwa akipewa mawaidha ya mwisho na Mkurugenzi wa Lino Agency Hashimu Lundenga kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo kabla ya kuelekea nchini China kwenye fainali ya Miss World Fainali ya Dunia Itakayofanyika July28 2012 nchini China mwaka huu ( Picha zote kwa hisani ya Intellectuals Communications Ltd)
Kama wanasema hivi, 'Tunakusihi sana zingatia mafunzo uliyo yapata na utuwakilishe vema, sawasawa!'. Chanzo. Raha za Pwani Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA