SERENGETI FIESTA SOCCER BONANZA YAENDELEA UWANJA WA MEMORIOL MJINI MOSHI

Wachezaji wa timu ya mashabiki wa timu ya Barcelona wakishangilia mara baada ya mchezaji wao kufufunga goli zuri katika dakika tisini dhidi ya timu ya Mashabiki wa timu ya Chealsea katika mchezo wao wa fungua dima kwenye bonanza la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza linalofanyika kwenye uwanja wa Memoriol mjini Moshi mkoani Kilimanjaro mchana huu.

Bonanza limepamba moto ambapo kumekuwa na burudani mbalimbali zikishirikisha mpira wa miguu kutoka kwa timu za mshabiki wa timu mbalimbali za Ulaya ambazo ni Manchester United, Liver Pool, Chealsea, Arsenal, Baeryen Munichen na Manchester City, Barcelona na Real Madrid.
Kikosi cha timu ya mashabiki wa Manchester kikiwa katika picha ya pamoja.Chanzo; Full Shangwe Blog
Kikosi cha Manchester City kikiwa katika picha ya pamoja.
Wachezaji wa timu ya mashabiki wa Chealsea na Barcelona wakichuana vikali katika mchezo wao wa fungua dimba ambapo timu ya Barcelona imeshinda goli 1-0 dhidi ya Chealsea
Kikosi cha mashabiki wa timu ya Barcelona kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo huo.
Wachezaji wa timu ya Arsenal wakisubiri mchezo wao kuanza .
Timu ya Bayern Minicheni wakisubiri kuanza kwa mchezo wao.
Timu ya mashabiki wa Chealsea wakiwa katika picha ya pamoja
Eneo hili likiwa limeandaliwa kwa ajili ya mashabiki maalum wa timu za mashabiki mbalimbali wa timu za Ulaya
Huduma ya kwanza imeimarishwa ili kuhakikisha wachezaji na mashabiki watakaopata matatizo yeyote katika bonanza hilo wanahudumiwa ipasavyo.
Mashabiki wa timu ya Barcelona wakiwa na jezi ya timu hiyo
Mashabiki mbalimbali wakiangalia matukio mbalimbali katika bonanza hilo
Mashabiki wa Machester Unbited wakiangalia timu yao haipo pichani wakati ilipokuwa ikicheza
Mtangazaji wa Clouds FM Mbwiga wa Mbwiguke akimpa kipaza sauti Said  Bonge pia wa Kipindi cha Power Braekfast
Mtangazaji wa Clouds FM Mbwiga wa Mbwiguke akiongea na mwalimu wa timu ya Chealsea ambaye aliamua kujipoza na muwa mkuuubwa mara baada ya kufungwa goli moja kwa bila na Barcelona katika mchezo wa fungua dimba.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI