SHUGHULI ZA WAZIRI MKUU PINDA LEO

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya Maria Mama wa Kanisa ya Enduimet mkoani Arusha jana. Kushoto kwake ni Askofu wa Jimbo Kuu la Arusha Mhashamu, Josephat Lebulu. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya balozi wa Ubelgiji aliyemaliza muda wake nchini, Paul Jansen ambaye alikwenda kuaga, ofisini kwa Waziri mjini Dodoma jana. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.