Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM Gerald Hando akitaka kufafanuliwa jambo kwa undani kuhusiana na mambo ya Freemasons na Sir Andy Chande.

Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,kutoka Clouds FM Gerald Hando nyumbani kwake kuhusiana na mambo mbalimbali yahusuyo Freemasons,ambayo hivi karibuni yalizua mtafaruku mkubwa miongoni mwa sehemu ya jamii.
Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande akifanya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast,Gerald Hando nyumbani kwake kuhusiaa na mambo mbalimbali yahusuyo Freemasons,ambayo hivi karibuni yalizua mtafaruku mkubwa miongoni mwa sehemu ya jamii.

"Huyu ndie Kiongozi Mstaafu wa Freemasons Afrika Mashariki,Sir Andy Chande,na hapa nikiwa nae nyumbani kwake Ukitaka kujua mengi au kujiunga nitafute tu..kumbe ni tofauti kabisa na watu wanavyozungumzia. I love them... lol.....Kwa wale wanaotaka kujiunga nitafuteni niwape masharti ya ukweli badala ya zile stori za mitaani" Simalenga Simon.Kwa hisani ya Haki Ngowi Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.