TIGO YAWAKUTANISHA NA WANAMITANDAO YA KIJAMII BLOGGERS

Baadhi ya Wamiliki wa Mitandao mbali mbali nchini wakiwa kwenye picha ya Pamoja wakati wa Tafrija Fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo ambapo ilikuwa na lengo la  kufahamiana na kujenga mahusiano, Hafla hiyo imefanyika kwenye hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar es salaam usiku huu.
Wakwanza kulia ni Seif Kabelele mmiliki wa Mtandao wa Kabelele Blog, Miss Popural wa Popuralblog na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa na Michuziblog wakishoo Love.
Kulia ni PR Agencies wa Tigo kutoka Trinity  na kushoto ni wadau wa Mitandao(Bloggers) wakipozi kwa picha
Katikati ni  Philemon Solomon mpiga picha wa Fullshangweblog kulia ni Zainul Mzige wa Mo Blog akifurahia katika tafrija hiyo na mdau wa Radio One.
Wanamitandao wakiwa kazini kutoka kulia walioshika Camera ni Josephat Lukaza wa Lukaza blog, Zainul Nzige wa Mo Blog na Rajab Mhamila wa Burudaniblog wakiwajibika.
Meneja wa Huduma Za Mitandao kutoka kampuni ya Tigo akifafanua jambo kwenye Tafrija hiyo ambapo alielezea urahisi wa kupata vifurushi vya Tigo vya kuweza kuperuzi huduma mbalimbali za kijamii katika mtandaao.   

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.