UZINDUZI WA MUONEKANO MPYA WA BIA YA NDOVU SPECIAL MALT KATIKA PICHA

  Mkurugenzi wa masoko wa Tbl Kushila Thomas akifurahia na wadau wengine kwenye uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam ambapo bia hiyo iliweza kutambulisha mabadiliko yaliyofanyika kwenye muonekano wake huku ladha yake ikibakia kuwa ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika baada ya Ndovu kushinda Medali ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand Gold Quality Medal ya Monder Selection
Wadau mbalimbali na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha bia nchini Tlb wakitazama sehemu ya mabadiliko ya Bia ya Ndovu kwenye uzinduzi muonekano mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam ambapo bia hiyo iliweza kutambulisha mabadiliko yaliyofanyika kwenye muonekano wake huku ladha yake ikibakia kuwa ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika baada ya Ndovu kushinda Medali ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani ya Grand Gold Quality Medal ya Monder Selection.
 Meneja wa Bia ya Ndovu special Malt Pamela Kikuli akizungumza na wadau mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam-Kushoto na kulia ni miongoni mwa wadau wa bia hiyo nchini

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA