WAZAMIAJI 6 KUTOKA AFRIKA KUSINI,ISRAEL WAMETUA ZANZIBAR

WAZAMIAJI sita kutoka Afrika Kusini na Israel, wametua Zanzibar kusaidia shughuli za uopoaji wa watu walikufa na walionusurika katika ajali ya meli ya Mv Skagit, iliyotokea  karibu na Kisiwa na Chumbe, Bahari ya Hindi.


Waogeleasji hao wa kujitolea wenye uwezo kuzama hadi kina cha mita 50 tayari wameanza kazi.

Baadhi ya meli zilizositisha kazi ya uokoaji  kwa kukosa mafuta, tayari zimeanza kufanya kazi leo asubuhi baada ya kupata nishati hiyo.

Meli hiyo imezama kufikia kina cha mita 28 chini ya Bahari ya Hindi.

Kuhusu taarifa kamili kuhusu meli hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa Uasafiri wa Zanzibar, Abdallah Kombo amesema zipo SUMATRA Tanzania Bara. Idadi kamili ya abria waliopanda meli hiyo bado ni kitendawili.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA