Bodi kitia akiwasili Mkoani Pemba
 Mmoja wa Viongozi wa UNHCR akiwa amembeba mtoto wa mmoja wa Wananchi waliokuwa Nchini Somali Wakimbizi walipowasili bandari ya Mkoani kwa Boti ya Sea Bus.
  Mkuu wa Mkua wa Kusini Pemba Juma Kassin Tindwa akisalimiana na baadhi ya Wananchi waliokuwa Nchini Somali Wakimbizi walipowasili bandari ya Mkoani pembe kwa Boti ya Sea Bus.
Rashid Abdalla Said, akitowa shukrani kwa Uongozi wa UNHCR NA Serekali ya Tanzania kwa Ushirikiano na Serekali ya Somali na Serekali ya Zanzibar kwa kuwafikisha Nyumbani kwa usalama akiwa katika bandari ya Mkoani Pemba baada ya kuwasili Kisiwani Pemba hivi karibuni. Chanzo; Haki Ngowi Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA