KAMPUNI YA SAMSUNG YATANGAZA KUTOA MSAADA WA MILIONI 144 MONDULI

Mwenyekiti wa Kijiji cha Emairete, Moran Poyoni akimkabidhi zawadi ya fimbo maalumu Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo yaliyokarabatiwa na Kampuni la Samsung na kutangaza msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha.
Wamasai wa Kijiji cha Emairete Wilayani Monduli Arusha, Wakimpokea Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo aiyeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika Kasunga wakati wa kuwasili katika Shule ya msingi ya Irmorijo kwa hafla ya kuabidhi madarasa yaliyokarabatiwa na Kampuni ya Samsung kutangaza kutoa msaada wa milioni 144 sawa na dola za kimarekani 90,000 kwa ajili ya kusaidia shule ya Msingi ya Irmorijo na Secondari ya Winning Spirit za Wilani Monduli Arusha
Wakiwasili kwa mapokezi
Wakiwasili katika Shule ya Msingi Irmorijo Monduli
Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo(katikati), Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika
Kasunga na Diwani wa Kata ya Monduli juu, Bariki Sumuni wakishangilia mara baada ya kukata utepe kwa pamoja kuashira uzinduzi wa madarasa yaliyokarabatiwa ukarabati wa Kampuni la Samsung  ya Shule ya Msingi ya Irmorijo Monduli Arusha ambapo Kammpuni ya Samsung ilitangaza kutoa msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Spirit
Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo(kushoto) akishikana mkono wa pongezi na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika Kasunga mara baada ya kuzindua jiwe la msingi lenye
ujumbe “Onyesha upendo kwa Dunia pamoja na Samsung” katika Shule ya Msingi ya Irmorijo Monduli Arusha ambapo Kampuni ya Samsung ilikabidhi madarasa baada ya kuyakarabati nakutangaza kutoa msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Spirit
Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo(kulia) akimkabidhi mpira mwanafunzi was Shule ya Msingi ya Irmorijo, Kizito Lepa(ll) ili kuwasisitiza waalimu na Wazazi
kuwaunga mkono watoto katika vipaji vyao wakati wa  hafla ya kukabidhi majengo baada ya ukarabati uliofanywa na Kampuni hiyo ambapo pia Kamuni hiyo ilitangaza kutoa msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Spirit
Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo akiwa katika vazi la Kimasai huku akionyesha
zawadi ya fimbo maalum aliyokabidhiwa wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati ukarabati wa Kampuni la Samsung na kutangaza msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha
Wakinamama wa Kimasai wa Kijiji cha Emairete Wilayani Monduli wakimpa zawadi Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati ukarabati wa Kampuni la Samsung na kutangaza msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha
Wakinamama wa Kimasai wa Kijiji cha Emairete Wilayani Monduli wakicheza samabamba na wakina Kaka wa kikorea wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati ukarabati wa Kampuni la Samsung na kutangaza msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha
Wakinakaka na kinadada wa Kimasai wakiimba na kucheza wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati ukarabati wa Kampuni la Samsung na kutangaza msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha
Wakimama wa Kimasai wakicheza wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa kwa shule ya Irmorijo baada ya ukarabati wa Kampuni la Samsung na kutangaza msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit Monduli Arusha jana.
Wakina Mama wa Kimasai wakiimba
Wakina Baba wa kimasai wakiimba na kucheza

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.