Kozi ya Uongozi ya FIFA yamalizika

Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (wa pili kushoto) akipokea tuzo kutoka kwa mkufunzi wa FIFA kutoka Botswana, Sinca Kanyemvu wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa  soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es  Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lagerndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vya Simba na Yanga. Wengine kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TFF, Ossiah Angetile, Rais wa TFF, Leodgar Tenga na Mkufunzi wa FIFA, Barry Bukoro kutoka Namibia.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akkiwahutubia washiriki wa wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es  Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vya Simba na
Yanga.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akisalimiana na Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Saad Kawemba wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF.
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi cheti Beatrice Mgaya kutoka Tanga wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management)  liyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na
uongozi wa TFF. Kozi hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Msimbazi Centre Jijini Dar es Salaam kuanzia Agosti 6-11, 2012. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ndio mdhamini wa Timu ya Taifa (Taifa Stars) na vilabu vya Simba na Yanga
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akimkabidhi cheti Rais wa TFF Leodgar Tenga wakati wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo makatibu wa vyama vya mpira na
uongozi wa TFF.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (mwenye shati jeupe) akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Kozi ya FIFA ya Utawala na Usimamizi (Administration and Management) iliyoendeshwa kwa wadau mbalimbali wa soka Tanzania wakiwemo akatibu wa vyama vya mpira na uongozi wa TFF.Chanzo; Father Kidevu Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA